RAIS CYRIL RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI AWASILI NCHINI TANZANIA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Thursday, 15 August 2019

demo-image

RAIS CYRIL RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI AWASILI NCHINI TANZANIA


CU3A0457
Rais Cyril Ramaphosa na mkewe Dkt. Tshepo Motsepe wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo  ya Kusini kwa Afrika SADC.

CU3A0459
Rais Cyril Ramaphosa akipokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa
amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC.

CU3A0464
Rais Cyril Ramaphosa akipeana mikono  na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo, Mkuu wa Wiklaya ya Kigamboni Mhe. Mhe. Sarah Misafiri na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo  ya Kusini kwa Afrika SADC.

CU3A0466
Rais Cyril Ramaphosa akipeana mikono  na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto ni Kamanda wa Kanda Mazlumu ya Kipolisi ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo  ya Kusini kwa Afrika SADC. PICHA ZOTE NA IKULU.

CU3A0475
Rais Cyril Ramaphosa akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu. Rais Ramaphosa amewasili kwa ziara rasmi ya siku mbili nchini kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika SADC.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *