RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 21 January 2019

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo  tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo  tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Angela Kairuki kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo  tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment