WAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA KAGERA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 6 October 2018

WAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA KAGERA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma bango lenye malalamiko ya mmoja wa wananchi wa Bukoba wakati alipowasalimia wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba baada ya kuwasili kwa ziara ya siku nne mkoani humo, Oktoba , 2018.  Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali  Marco Elisha Gaguti na kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama Ngoma ya kikundi cha Kakau Band wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kuanza awamu ya pili ya ziara ya mkoa huo itakayochukuwa siku nne, Oktoba 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na wafanyabiashara wa zao la kahawa kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018. Kulia ni Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba, kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage na wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment