DKT. SAMIA AAPISHWA KUWA RAIS WA TANZANIA, IKULU DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 3 November 2025

DKT. SAMIA AAPISHWA KUWA RAIS WA TANZANIA, IKULU DODOMA

Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia) akipokea heshima kwenye hafla ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia) akikagua gwaride kwenye hafla ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia) akikagua gwaride kwenye hafla ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiapa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba 2025.

No comments:

Post a Comment