| Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa majimbo ya Ilala, Segerea, Kivule na Ukonga katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Kecha, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Oktoba, 2025. |
No comments:
Post a Comment