| Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa majimbo ya Mbagala, Kigamboni, Chamazi na Temeke katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025. |
No comments:
Post a Comment