RAIS DKT. SAMIA AWAOMBA KURA WANANCHI WA MBINGA MKOANI RUVUMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 22 September 2025

RAIS DKT. SAMIA AWAOMBA KURA WANANCHI WA MBINGA MKOANI RUVUMA

Shamra shamra za wananchi wa Mbinga mkoani Ruvuma ambao waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Mbinga mkoani Ruvuma waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mbinga mkoani Ruvuma tarehe 21 Septemba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Mbinga mkoani Ruvuma waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mbinga mkoani Ruvuma tarehe 21 Septemba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Mbinga mkoani Ruvuma ambao waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbinga katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Ruvuma tarehe 21 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment