| Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Mlowa waliopo kwenye Jimbo la Mvumi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Dodoma tarehe 07 Septemba, 2025. |
No comments:
Post a Comment