Saturday, 6 September 2025

MGOMBEA NAFASI YA RAIS TIKETI YA CCM DKT. SAMIA ACHANJA MBUGA MUFINDI, NI MUENDELEZO KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU KWA CHAMA HICHO MKOANI

Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM wa  Mufindi katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Iringa tarehe 06 Septemba 2025.

Wananchi na wanachama wa CCM wa  Mufindi katika wakimlaki mgombea wa CCM nafasi ya uraisi katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Iringa tarehe 06 Septemba 2025.

No comments:

Post a Comment