Sunday, 14 September 2025

MGOMBEA NAFASI YA RAIS WA CCM DKT. SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA KIGOMA

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi kwa wagombea Ubunge wa Chama hicho mkoani Kigoma mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mkoa huo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 14 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya selfie na wagombea Ubunge wa majimbo ya Mkoa wa Kigoma mara baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Katosho mkoani Kigoma tarehe 14 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment