Monday, 15 September 2025

DKT. SAMIA AWASILI ZANZIBAR TAYARI KWA MIKUTANO YA KAMPENI

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wa Kiembe samaki mara baada ya kuwasili Zanzibar tarehe 14 Septemba, 2025 kwa ajili ya kuendelea na Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho.

No comments:

Post a Comment