MGOMBEA NAFASI YA RAIS TOKA CCM DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIBAIGWA KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 30 August 2025

MGOMBEA NAFASI YA RAIS TOKA CCM DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIBAIGWA KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU DODOMA

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaigwa katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Dodoma tarehe 30 Agosti, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Kibaigwa waliohudhuria mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma tarehe 30 Agosti, 2025.

No comments:

Post a Comment