NMB YADHAMINI NA KUSHIRIKI UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025 - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Wednesday, 2 April 2025

demo-image

NMB YADHAMINI NA KUSHIRIKI UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.20_573f783e

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.21_e4a97a14

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.22_8d241c2c

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.23_65b1687e

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.24_bc8531c9

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.25_00bdeca7

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.26_b7dc82aa

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.27_59d7303b

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.28_75a6df63

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.29_f9dd3975

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.30_fc92c468

WhatsApp%20Image%202025-04-02%20at%2017.18.31_eba8be4d

Na Mwandishi Weru

LEO Aprili 02, 2025, Benki ya NMB imedhamini na kushiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kitaifa uliofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha, mkoani Pwani.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, ameuwasha rasmi Mwenge wa Uhuru mbele ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, na viongozi wengine wa Serikali. Baada ya uzinduzi huo, Dkt. Mpango amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa kwa mwaka 2025, Ismail Ussi.

Ussi ameahidi kuukimbiza Mwenge huo katika halmashauri 165 kwenye mikoa yote 31 nchini, kwa kauli mbiu inayohimiza wananchi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu.

Benki ya NMB, ikiwakilishwa na Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam, Seka Urio, inaendelea kuwa mdau muhimu katika matukio ya kitaifa yenye lengo la kuhamasisha amani, mshikamano, na maendeleo.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *