RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA TIMU YA TAIFA KWA NJIA YA SIMU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 18 January 2024

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA TIMU YA TAIFA KWA NJIA YA SIMU

 

Maelezo ya Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu  Taifa Stars jioni hii kwa njia ya simu na kuwapa moyo kuelekea mchezo wao wa leo na timu ya Taifa ya Morocco ikiwa ni mechi yao ya kwanza katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Afcon 2023 yanayofanyika nchini Ivory Coast. Rais Samia amezungumza na timu hiyo ya Taifa akiwa visiwani Zanzibar tarehe 17 Januari, 2024.(Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment