![]() |
| Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022. |
![]() |
| Kikundi cha Ngoma za asili kutoka Bagamoyo kikitumbuiza katika uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022. |
![]() |
| Wageni mbalimbali wakielekea ukumbini kushuhudia uzinduzi wa wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022. |

.jpeg)




.jpg)

No comments:
Post a Comment