BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ATEMBELEA NEC - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday 12 February 2021

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ATEMBELEA NEC

 

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akifafanua jambo kwa  Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi  wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe. (Picha na Mroki Mroki – NEC).

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akimweleza jambo Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi  wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe. (Picha na Mroki Mroki – NEC). 

No comments:

Post a Comment