Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu/Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki, pamoja na Waziri wa kilimo, Mh. Japhet Hasunga watembelea maonesho ya #TigoNanenane2020 na kujionea bidhaa na huduma kutoka Tigo.Ambapo katika msimu huu kuna punguzo la bei ya simu zikiwa na Internet BURE mwaka mzima ili kuleta maendeleo kwa wakulima, wavuvi na wafugaji. Tembelea katika viwanja mbalimbali ili kujipatia huduma na bidhaa za Tigo.
WAZIRI CHANA AFUNGUA RASMI ONESHO LA WIKI YA UBUNIFU LA ITALIA JIJINI DAR
ES SALAAM
-
*Na Happiness Shayo- Dar es Salaam*
*Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb)
amefungua rasmi Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Ital...
15 minutes ago
No comments:
Post a Comment