WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza kuwa idadi ya waliougua ugonjwa wa Corona (COVID 19) hadi sasa imefikia wagonjwa 32 hadi sasa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu inasema kumeongezeka idadi ya wagonjwa wapya watano na vifo vya watu 3. Taarifa zaidi soma katika taarifa hii:-
Mhe. Ridhiwani Kikwete Awasili Mkoani Mtwara Kuhudhuria Mahafali ya 43 ya
TPSC
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb.), amewasili mkoani Mtwara
kuhudhuria ...
4 hours ago


No comments:
Post a Comment