| Katibu Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bi. Maimuna Tarishi akiwa anatekeleza majukumu yake katika Ofisi yake Mpya iliyopo katika Mji wa Serikali Kata ya Mtumba, Jijini Dodoma ikiwa ni kutekeleza agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alilotoa tarehe 13 Aprili, 2019. |
No comments:
Post a Comment