| Domitila Silayo (wa pili kushoto) kutoka kitengo cha Kadi cha Benki ya NMB akimpigia simu mmoja wa wateja wa NMB waliobahatika kujishindia shilingi 100,000/- taslimu leo kwenye droo ya saba ya Shindano la MastaBata la NMB. Kutoka kulia ni Mtaalamu kutoka kitengo cha kadi NMB, Florence Mchau, Ofisa Mwandamizi Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo pamoja na Bi. Saumu Rajabu kutoka Selcom (kushoto). |
No comments:
Post a Comment