Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimlipa pesa Paschal Sabas Mjasiliamali wa Madafu
mara baada kununua Madafu yake, alipotembelea ili kukagua ukarabati wa Mradi wa
Jengo la Kitega Uchumi la Ccm (SUKITA)
lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es
Salaam.Febuari 5,2019.
|
No comments:
Post a Comment