Friday, 8 February 2019

RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA EU NCHINI...!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya  mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri alipokutana nan a kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri akiwa pamoja na Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Mhe. Martin Tavenyika alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019.





No comments:

Post a Comment