MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO MJINI DODOMA...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 8 February 2019

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO MJINI DODOMA...!

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa, bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) akiteta na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso, bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment