Katibu Mkuu wa Waziri ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga (katikati) akifuatilia
kwa makini hotuba ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe
(hayupo pichani) kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la
Gerezani jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara
Nchini (Tanroads), Eng. Patrick Mfugale pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala
wa Barabara Nchini (Tanroads), Dakta Damas Lucas Nyahoro.
Imeandaliwa
na Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano.
|
No comments:
Post a Comment