| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa Madini baada ya kuhudhuria na kuhutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne JanuarI 22, 2019. |
No comments:
Post a Comment