| Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Gerson Msigwa akizungumza kwenye Kikao cha Maafisa Habari na Maafisa Mawasiliano kutoka Wizara, Halmashauri pamoja na Taasisi mbalimbali za Serikali pamoja na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Desemba, 2025. |
No comments:
Post a Comment