| Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na Wenyeviti wa Halmashauri za miji na wilaya kilichofanyika Zanzibar tarehe 29 Novemba 2025. |
No comments:
Post a Comment