| Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati), akipokea tuzo ya Wizara ya Fedha (Fungu 6), kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Msaidizi, Mhandisi. Kenneth Nindie (wa pili kulia), baada ya Wizara ya Fedha kutangazwa mshindi wa tatu katika kipengele cha Idara za Serikali Zinazojitegemea (Independent Government Department) katika, mashindano ya Uwasilishaji Bora wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2024, yaliyofanyika tarehe 4 Desemba 2025 jijini Dar es Salaam, Wengine katika picha ni Manaibu Katibu Wakuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (wa kwanza kushoto) na Bi. Amina Khamis Shaaban (wa pili kulia). (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma). |
No comments:
Post a Comment