Saturday, 22 November 2025

ROOM TO READ TANZANIA YAWAFUNDA WAANDAAJI WA VITABU VYA HADITHI ZA WATOTO

Meneja Mwandamizi Machapisho Bora wa Shirika la Room To Read- Tanzania, Bi. Blandina Lucas (wa kwanza kushoto) akiwasilisha mada kwa baadhi ya waandishi na wadau waandaaji wa vitabu vya watoto iliyofanyika kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa Tanzania.

Meneja Mwandamizi Machapisho Bora wa Shirika la Room To Read- Tanzania, Bi. Blandina Lucas (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya waandishi na wadau waandaaji wa vitabu vya watoto iliyofanyika kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa Tanzania.
Afisa Machapisho Bora ya Usomaji wa Shirika la Room To Read, Bw. Dickson Msuva (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya waandishi na wadau waandaaji wa vitabu vya watoto iliyofanyika kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa Tanzania.

Sehemu ya wadau wa machapisho ya vitabu wakipata maelezo anuai ya shughuli za Shirika la Room To Read- Tanzania ndani ya Banda la Shirika hilo kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa Tanzania.

Mmoja wa washiriki wa warsha ya waandishi na wadau waandaaji wa vitabu vya watoto akijangia mada mara baada ya uwasilishaji wa mada kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa Tanzania. Warsha hiyo iliandaliwa na Shirika la Room To Read- Tanzania.

Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano Room To Read-Tanzania, Bi. Delphina Mtangeki (kulia) akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha hiyo.

Mmoja wa washiriki wa warsha ya waandishi na wadau waandaaji wa vitabu vya watoto akijangia mada mara baada ya uwasilishaji wa mada kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa Tanzania. Warsha hiyo iliandaliwa na Shirika la Room To Read- Tanzania.

Mmoja wa washiriki wa warsha ya waandishi na wadau waandaaji wa vitabu vya watoto akijangia mada mara baada ya uwasilishaji wa mada kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa Tanzania. Warsha hiyo iliandaliwa na Shirika la Room To Read- Tanzania.

SHIRIKA la Room To Read- Tanzania limekutana na watunzi wa vitabu huku wakitoa mbinu za namna ya wadau hao wanaweza kutunga na kuandaa maudhui ya vitabu vya hadithi za watoto vyenye mvuto zaidi kwa kundi hilo la wasomaji.

Elimu hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na wataalamu wa uandaaji wa maudhui ya vitabu vya watoto kutoka Shirika la Room To Read- Tanzania kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa.

Akiwasilisha mada katika warsha hiyo, Meneja Mwandamizi Machapisho Bora wa Shirika la Room To Read- Tanzania, Bi. Blandina Lucas alisema uandaaji wa vitabu vya watoto unatakiwa kuwa na picha au michoro ya kuvutia, pamoja na muonekano wa kuvutia, huku kukiwa na maandishi yenye nafasi ya kutosha ili kumvuta mtoto kiusomaji.

Alisema uandaaji wa vitabu vya hadithi za watoto pia haunabudi kuwa na jalada lenye mvuto, kikiwa na maudhui yanayoendana na wakati na mazingira halisi, yasiokuwa na ubaguzi zaidi ya ushirikiano yaani kuwaunganisha watoto, huku vikizingatia maadili na sayansi na teknolojia. 

Afisa Machapisho Bora ya Usomaji wa Shirika la Room To Read, Bw. Dickson Msuva akiwasilisha mada kwa baadhi ya waandishi na wadau waandaaji wa vitabu vya watoto iliyofanyika kwenye Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea Katika Viwanja vya Maktaba ya Taifa Tanzania.

No comments:

Post a Comment