![]() |
| Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora a) Waziri: Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete. |
![]() |
| Wizara ya Kilimo a) Waziri: Mhe. Daniel Godfrey Chongolo. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo:-
1. Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora a) Waziri: Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete b) Naibu Waziri: Mhe. Regina Ndege Qwaray
2. Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji a) Waziri: Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo b) Naibu Waziri: Mhe. Pius Stephen Chaya
3. Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana a) Waziri: Mhe. Joel Arthur Nanauka
4. Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira a) Waziri: Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Festo John Dugange
5. Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu a) Waziri: Mhe. William Vangimembe Lukuvi b) Naibu Waziri: Mhe. Ummy Hamisi Nderiananga 1
6. Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano
7. a) Waziri: Mhe. Deus Clement Sangu b) Naibu Waziri: Mhe. Rahma Riadh Kisuo Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) a) Waziri: Mhe. Prof. Riziki Silas Shemdoe b) Naibu Waziri (Elimu): Mhe. Reuben Nhamanilo Kwagilwa c) Naibu Waziri (Afya): Dkt. Jafar Rajab Seif
8. Wizara ya Fedha
9. a) Waziri: Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar b) Naibu Waziri: Mhe. Laurent Deogratius Luswetula c) Naibu Waziri: Mhe. Mshamu Ali Munde Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki a) Waziri: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe c) Naibu Waziri: Mhe. James Kinyasi Millya
10. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi a) Waziri: Mhe. Boniface George Simbachawene b) Naibu Waziri: Mhe. Denis Lazaro Londo
11. Wizara ya Kilimo a) Waziri: Mhe. Daniel Godfrey Chongolo b) Naibu Waziri: Mhe. David Ernest Silinde 12. Wizara ya Maji
13. a) Waziri: Mhe. Jumaa Hamidu Aweso b) Naibu Waziri: Mhe. Kundo Andrea Mathew Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa a) Waziri: Mhe. Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
14. Wizara ya Ujenzi a) Waziri: Mhe. Abdallah Hamis Ulega b) Naibu Waziri: Mhe. Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya 2
15. Wizara ya Uchukuzi a) Waziri: Mhe. Prof. Makame Mbarawa Mnyaa b) Naibu Waziri: Mhe. David Mwakiposa Kihenzile
16. Wizara ya Viwanda na Biashara a) Waziri: Mhe. Judith Salvio Kapinga b) Naibu Waziri: Mhe. Patrobas Paschal Katambi
17. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari a) Waziri: Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki b) Naibu Waziri: Mhe. Switbert Zacharia Mkama
18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum a) Waziri: Mhe. Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima b) Naibu Waziri: Mhe. Maryprisca Winfried Mahundi
19. Wizara ya Afya a) Waziri: Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Florence George Samizi
20. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia a) Waziri: Mhe. Prof. Adolf Faustine Mkenda b) Naibu Waziri: Mhe. Wanu Hafidh Ameir
21. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi a) Waziri: Mhe. Dkt. Leonard Douglas Akwilapo b) Naibu Waziri: Mhe. Kaspar Kaspar Mmuya
22. Wizara ya Maliasili na Utalii a) Waziri: Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji b) Naibu Waziri: Mhe. Hamad Hassan Chande
![]() |
| Naibu Waziri: Mhe. Paul Christian Makonda |
23. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo a) Waziri: Prof. Palamagamba John Kabudi b) Naibu Waziri: Mhe. Hamisi Mwinjuma c) Naibu Waziri: Mhe. Paul Christian Makonda 3
24. Wizara ya Mifugo na Uvuvi a) Waziri: Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa b) Naibu Waziri: Mhe. Ng'wasi Damas Kamani
25. Wizara ya Madini a) Waziri: Mhe. Anthony Peter Mavunde b) Naibu Waziri: Mhe. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa
26. Wizara ya Nishati a) Waziri: Mhe. Deogratius John Ndejembi b) Naibu Waziri: Mhe. Salome Wycliffe Makamba
27. Wizara ya Katiba na Sheria a) Waziri: Mhe. Juma Zuberi Homera b) Naibu Waziri: Mhe. Zainabu Athman Katimba Aidha, uapisho wa mawaziri na naibu mawaziri wateule utafanyika Ikulu Chamwino Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025 kuazia saa 05.00 asubuhi. Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Mn a BaloziDkt. Moses M. Kusiluka KATIBU MKUU KIONGOZI 17 Novemba, 2025
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025. |



.jpeg)
No comments:
Post a Comment