| Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Zanzibar katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 24 Oktoba, 2025. |
No comments:
Post a Comment