| Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe
akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu akili mnemba (AI) na Mabadiliko
ya Tabianchi uliomalizika Oktoba 9,2025 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mshauri wa Rais wa katika masuala ya mazingira na Mwenyekiti wa Kundi la Afrika
cha Majadiliano (AGN), Dk. Richard Muyungi. PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS. |
No comments:
Post a Comment