MGOMBEA WA NAFASI YA RAIS KUPITIA CCM, DKT. SAMIA AHUTUBIA WANANCHI TUNDUMA
Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano wa Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowahutubia katika Mji wa Tunduma Mkoani Songwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Songwe.
Matukio mbalimbali katika mkutano huo.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipungia wananchi wa Mji wa Tunduma katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Songwe tarehe 03 Septemba, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mji wa Tunduma katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Songwe tarehe 03 Septemba, 2025.
Burudani zikiendelea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho mkoani Songwe.
No comments:
Post a Comment