Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akitafakari jambo kabla ya kuwahutubia Wananchi wa Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar
Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 18 Septemba, 2025
Dkt. Samia akiwa meza kuu na viongozi wengine
Dkt. Samia akiomba dua.
Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 18 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Nungwi, Mkoa wa
Kaskazini Unguja waliohudhuria Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) tarehe 18 Septemba, 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 18 Septemba, 2025.

Shamrashamra zikiendelea

No comments:
Post a Comment