Friday, 5 September 2025

KAMPENI ZA MKUTANO WA MGOMBEA URAIS TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI DK. SAMIA

Picha za Kampeni za Mkutano wa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dk. Samia Suluhu Hassan.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Rungwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 05 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Rungwe mkoani Mbeya tarehe 05 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment