KATIBU MKUU ARCH. MWAKALINGA APOKEA KIVUKO CHA MV. PANGANI II NA KUKABIDHI TEMESA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 22 October 2020

KATIBU MKUU ARCH. MWAKALINGA APOKEA KIVUKO CHA MV. PANGANI II NA KUKABIDHI TEMESA

Katibu mkuu – Ujenzi Arch. Elius Mwakalinga akikata utepe ishara ya kukikadhi kivuko cha MV. Pangani II kwa Mtendaji mkuu wa TEMESA Eng. Japhet Masele  mara baada ya kukifanyia ukarabati mkubwa kivuko hicho.

Muonekano wa kivuko cha MV. Pangani II kinachotoa huduma kati ya Pangani- Bweni mkoani Tanga mara baada ya kukarabatiwa, kivuko hicho kina uwezo wa kupakia abiria 100 na magari manne kwa wakati mmoja.


Katibu mkuu – Ujenzi Arch. Elius Mwakalinga pamoja na mkuu wa mkoa wa tanga Martine Shigela wakifurahia mara baada ya kukata  utepe ishara ya kukikadhi kivuko cha MV. Pangani II kwa Mtendaji mkuu wa TEMESA  Eng. Japhet Masele.

Mtendaji mkuu wa TEMESA  Eng. Japhet Masele  akisisitiza jambo kwa Katibu mkuu – Ujenzi Arch. Elius Mwakalinga mara baada ya kukabidhiwa kivuko cha MV. Pangani.


Kazi ya ukaguzi wa kivuko kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati na Mafia mkoani Pwani ikiendelea kivuko hicho kinatarajiwa kuanza kazi mwezi ujao.


Kazi ya ukaguzi wa kivuko kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati na Mafia mkoani Pwani ikiendelea kivuko hicho kinatarajiwa kuanza kazi mwezi ujao.

Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. 



No comments:

Post a Comment