MADHARA YA ZEBAKI NI MAKUBWA ‘WANANCHI WATAHADHARISHWA’ - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 17 October 2019

MADHARA YA ZEBAKI NI MAKUBWA ‘WANANCHI WATAHADHARISHWA’

 Waziri wa Madini, Doto Biteko amewataka wananchi hususani wachimbaji wadogo wa dhahabu kuwa makini na matumizi ya Zebaki kwenye uchenjuaji wa madini hayo wakati Serikali ikitafuta njia mbadala ya kemikali hiyo.

Waziri Biteko ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri (RCC) Mkoa Geita, kilichofanyika Oktoba 16, 2019.

Na George Binagi, Mwanza

 Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza kwenye kikao hicho.

 Afisa Madini Mkazi Mkoa Geita, Daniel Mapunda akiwasilisha taarifa ya Madini ya Mkoa huo.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye kikao hicho.

No comments:

Post a Comment