| Kaimu Mkurunzi Mtendaji Benki ya NMB, Filbert Mponzi (kulia) akijadiliama jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam malima (kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti walipohuduria mkutano wa Jukwaa la Biashara baina ya Tanzania na Uganda, lililofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Na Mpigapicha Wetu. |
No comments:
Post a Comment