| Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakifurahia katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom Masaki, mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora. |
No comments:
Post a Comment