| Dk Reginald Mengi (mwenye tai nyekundu) akipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika leo wakati wa tafrija fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa. Wa tatu kulia ni Balozi wa Kenya, Mh Dan Kazungu, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Sanjay Rughani (kulia) na wafanyakazi wa ubalozi huo. |
No comments:
Post a Comment