Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli
wakwanza kutoka kulia pamoja na viongozi mbalimbali wa Wizara ya Ujenzi,
Wabunge pamoja na viongozi wa mkoa, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo
itakayotumika katika ujenzi wa mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mtwara.
|
No comments:
Post a Comment