Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Msibani pamoja na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakwanza kulia, Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa wakwanza
kushoto aliyekaa pamoja na ndugu zake kufatia kifo cha Dada yake marehemu
Tryphosa Simon Sanga kilichotokea juzi jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment