RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193, RUVUMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan hapa
nchini Shinichi Goto, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB
nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru pamoja na viongozi mbalimbali wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara
ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru
mkoani Ruvuma.

Kwaya ya JKT kutoka Tunduru
ikiimba katika sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo Tunduru mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Balozi wa
Japan hapa nchini Shinichi Goto kulia pamoja na Mwakilishi Mkuu wa JICA hapa
nchini Naofumi Yamamura mara baada ya kufungua barabara hiyo ya
Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani
Ruvuma.
No comments:
Post a Comment