Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa
wameshika mashada ya maua tayari kuyaweka katika kaburi la Rais wa Tatu wa
Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi. April 24, 2019.
|
No comments:
Post a Comment