![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi
wa kituo Kikuu cha Mabasi cha Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
|
![]() |
| Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizindua kituo Kikuu cha Mabasi cha Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani
Ruvuma. |
![]() |
| Moja ya kituo cha kupooza umeme cha Songea. |
![]() |
| Sehemu ya wananchi wa Songea mkoani Ruvuma wakiwa ndani ya Uwanja wa mpira wa Majimaji kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU. |

No comments:
Post a Comment