| Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kulia, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt. Husein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi CDF Jenerali
Venance Mabeyo, watano kutoka kulia,
Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu watano kutoka kushoto, Kaimu Mkuu wa
Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi wanne kutoka kushoto pamoja na Mawaziri, akikata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT
kilichopo Songea mkoani Ruvuma. |
No comments:
Post a Comment