Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof.
Arthur Peter Mutharika,Mama Janeth Magufuli, Prof.Gertrude Mutharika Mke wa
Rais wa Malawi huku wimbo wa Taifa wa Malawi Ukipigwa wakati wa Sherehe za
Uzinduzi wa Msimu mpya wa Soko la Tumbaku zilizofanyika katika eneo la Kanengo
Jijini Lilongwe Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.
|
No comments:
Post a Comment