| Meneja wa Vodacom mkoa wa Lindi, Omary Kilumanga akikabidhi baadhi ya taulo za kike kwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga kwa ajili ya kugawa kwa wanawake wa wilaya hiyo hivi karibuni kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Sherehe hizi ziliandaliwa na taasisi ya T-Marc Tanzania chini ya mradi wa Hakuna wasichoweza unaotoa elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana kwa kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation. |
No comments:
Post a Comment