Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed
bin Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba
Kabudi wanne kutoka kulia, Balozi wa Tanzania kutoka Qatar Fatma Rajab watatu
kutoka kushoto pamoja na Balozi Zuhura Bundala wakwanza kushoto.
|
No comments:
Post a Comment