Mama Maria Nyerere akiwa
na mgeni wake, mjane wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Napono Sokoine (kulia)
aliyemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka
kushoto nyuma ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Mbunge wa Viti Maalumu,
Namelok Sokoine (wa pili kushoto), Elysia Sokoine na Ninai Sokoine. Mbuzi anayeonekana
ni zawadi ya Mama Sokoine aliyompelekea Mama Maria.
|
No comments:
Post a Comment